Unknown Unknown Author
Title: David Kafulila ahamia chama kipya
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa iliyotolewa na Mwananchi imeeleza kwa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku...

Taarifa iliyotolewa na Mwananchi imeeleza kwa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Imeelezwa kwamba Kafulila amethibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo December 16 2016.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top