Unknown Unknown Author
Title: ALICHOSEMA NE-YO KUHUSU DIAMOND PLATNUM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Inaweza kuwa ngeni kidogo kwenye masikio yako lakini tambua kwamba hii ni kati ya single kubwa sana duniani, Star mwimbaji wa kimataifa  N...

Inaweza kuwa ngeni kidogo kwenye masikio yako lakini tambua kwamba hii ni kati ya single kubwa sana duniani, Star mwimbaji wa kimataifa Ne-Yo kutoka Marekani ameendelea kuonesha jinsi anavyomkubali star wa BongoFlava Diamond Platnumzbaada ya kupost cover ya wimbo aliopiga naye collabo “Marry You”.
“Upendo wa kutosha kwa mshikaji wangu @diamondplatnumz msanii mkali na rafiki yangu kutoka Africa! Itafute single aliyoifanya na mimi #MARRYYOU inapatikana sasa kwenye iTunes. #NEWMUSIC 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,” – Ne-Yo.
Kupitia Instagram, Ne-Yo ameandika maneno ya kuifanyia promotion collabo hiyo huku akimtaja Diamond “Simba” kama msanii mkali na rafiki yake mkubwa kutokea barani Afrika, single hiyo unaiweza kuipata kwa kudownload kupitia >>> itunes
neyo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top