Unknown Unknown Author
Title: ALICHOSEMA FID Q KUHUSU NAY WA MITEGO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 kupitia Interview ya show ya Planet Bongo msanii wa bongofleva  Nay wa Mitego  alihojiwa na kusema yafuatayo. ‘ Huwa nakasirika sana n...


 kupitia Interview ya show ya Planet Bongo msanii wa bongofleva Nay wa Mitego alihojiwa na kusema yafuatayo.
Huwa nakasirika sana nikiona mtu anamfananisha Fid Q na Rappers wengine wepesi kama mimi, sipendi kabisaaa
Baada ya Fid Q kufikiwa na hiyo taarifa alichukua time yake na kusema yafuatayo >>> ‘Wewe sio mwepesi kaka @naytrueboy – so yawezekana kabisa na wao wakawa na vigezo flani special vinavyowapelekea wadau kunilinganisha au hata kunipima nao.. yote na yote.. ubarikiwe sana na asante sana kwa #LoveYaHelaYote

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top