Mwandishi wetu wa bongoudukuzi,com,amejaribu kufanya utafiti ili kuweja kujua sababu ya watu kujihushisha na biashara haramu hii ya madawa ya kulevya.Sababu ya msingi ni hii
Katika soko la dunia bei ya chini kabisa ya gramu moja ya Cocaine ni takribani dola 200, yaani takribani Sh 447,000 za kitanzania. Kwa maana hiyo, inamaanisha kuwa gramu 1000 ambayo ni sawa na Kilogram moja ya cocaine ni takribani dola 200,000,sawa na takribani Sh Milioni 447.Yaani kwa Lugha nyepesi ukiwa na Kg 25 za cocaine, maana yake ni kuwa Kg 25 ni sawa na takribani Bil 11,175,000,000 (Bil 11 na Mil 175).
Utajiri huu ndiyo unawafanya wauza unga kuwa na nguvu kubwa kote duniani, kuna wakati hujiona kama Mungu.
Maoni yangu tujitahidi wote kwa pamoja kuweza kupambana na biashara hii inayopoteza nguvu kazi ya Taifa.
Post a Comment