Ni elimu kiasi gani inahitajika ili uweze kupata kazi ya ndoto yako? Kama unataka kuwa Mhasibu, shahada inakutosha. Lakini ukisoma shahada ya umahiri katika masuala ya Kompyuta inaweza kukuongezea hatua moja mbele, kama unataka kazi ya uhandisi wa vifa vya umeme, itakulazimu kukaa chuoni kwa muda mrefu zaidi ili kupata shahada ya uzamivu (PhD). Ili kupata kazi fulani, inategemea hasa umesoma nini kwa mujibu wa National Association of Colleges and Employers (NACE).
NACE ilihoji kampuni 201 kuwa, huwa wanatafuta watu wenye shahada gani wakati wakitaka kuajiri. Utafiti huo ulionyesha kuwa kama walitaka mtu mwenye shahada ya kwanza, masomo ya accounting, finance or business management yaliongoza lakini kadiri walivyokuwa wakitaka mtu mwenye elimu ya juu zaidi, hali ilianza kuwa tofauti. Sayansi ya Kompyuta (Computer Science) ndilo somo lililoonekana kupendelewa zaidi na waajiri wengi.
Hapa chini ni uchambuzi wa masomo gani hupendelewa zaidi na waajiri wakati wakitaka kuajiri katika ngazi mbalimbali za elimu.
Ajira kwa wenye Shahada (Degree) masomo yanayopendelewa ni;-
Ajira kwa wenye Shahada ya Umahiri (Master’s Degree) masomo yanayopendelewa ni;-
Kwa wenye Shahada ya Uzamivu (Doctorate Degree) masomo yanayopendelewa ni;-
Baada ya kuona masomo yanayopendelewa na waajiri wengi katika ngazi mbalimbali za elimu, ni dhahiri unaweza kufahamu kama unataka kupata kazi fulani ni masomo gani unatakiwa kusoma
Post a Comment